![Ni Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/22/d5d655165ddf4ce887c98c844e5358f1.jpg)
Ni Wewe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Ni Wewe - The Band Beca
...
Bwana niko mbele zako, mikono nainua
Natambua ufalme wako, hosanna
Baba niko mbele zako, mikono nainua
Nitaimba sifa zako, hallelujah
Ni wewe, nani kama wewe
Ni wewe, hakuna kama wewe
Ni wewe, nani kama wewe
Ni wewe, hakuna kama wewe(bwana)
(oh, hallelujah)
Bwana niko mbele zako, mikono nainua
Natambua ufalme wako, hosanna
Baba niko mbele zako, mikono nainua
Nitaimba sifa zako, hallelujah
Ni wewe(we-we), nani kama wewe
Ni wewe(we-we), hakuna kama wewe
Imani ya wewe(we-we), nani kama wewe
Ni wewe(we-we), hakuna kama wewe(bwana)
Malaika, wanaimba kwa furaha wakisema utukuzwe bwana
Na mataifa, yasujudu yakikiri kwamba wewe ni muweza
Upendo wako (Wanijaza roho wewe ndiwe Mungu)
Na neno lako (Lanijaza roho Mungu wa miungu)
Ni wewe(we-we), nani kama wewe
Ni wewe(we-we), hakuna kama wewe
Ni wewe(we-we), nani kama wewe
Ni wewe(we-we), hakuna kama wewe
Malaika, wanaimba kwa furaha wakisema utukuzwe bwana
Na mataifa, yasujudu yakikiri kwamba wewe ni muweza