![Siiforce](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/22/86096b21a51e42679c1f4a701497332c.jpg)
Siiforce Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Siiforce - The Band Beca
...
Sema 1, 2 wawili kwa wawili
Enda 3 4 hapo kwenye floor
Enda 5 6 nishike nikushike
Tukikatika na hii flow
Unapenda nikiwhine na mimi siforce
Siforce (Na mimi siforce)
When I drop it down low na mimi siforce
Siforce (Na mimi siforce)
Unapenda nikiwhine na mimi siforce
Siforce (Na mimi siforce)
When I drop it down low na mimi siforce
Siforce (Na mimi siforce)
So high fever
Pepeta diva
Sativa inaita
Wameza mate hujashiba
----------
-------