![Kindani Ndani](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/16/b509662676a344abb58629cb8215b470.jpg)
Kindani Ndani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Kindani Ndani - The Band Beca
...
hisia zangu,zanikumbusha huyu jamaa
na mwili Wangu,unatamani kushikwa shikwa
nilizoea,mapenzi yako hayo matamu
na nilizoeaujuzi wako wa kistarabu(aaaah)
mapenzi yetu yalivyo nawiri(aaaah)
lakini sasa umbali na mimi
naumia naumia nikikumbuka mi nalia.+2