![Waite ft. Mimi Mars](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/22/86096b21a51e42679c1f4a701497332c.jpg)
Waite ft. Mimi Mars Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Waite ft. Mimi Mars - The Band Beca
...
Band Beca ft Mimi Mars
WAITE
Uoooooh Uoooooh Ooooooh
Band Beca it's basement
Navutia
Mwenye sikio basi sikia
Mimi mtoto Mashallah
Hebu cheki sina raha
Toka Jicho kwenye hahaba
Mpaka leo usini lele
Huyu mtoto toto amekam na joto (joto)
Huyu mtoto toto nikama kuwin lotto
Wanapenda kula (Wooooh Wooooh)
Wanapenda kula (Wooooh Wooooh)
Huyu mtoto toto nikama kuwin lotto
Waite Wote ( Waite ) Waite Wote (Waite)
Waite Wote ( Waite ) Waite Wote Wanione
Waite Wote ( Waite ) Waite Wote (Waite)
Waite Wote ( Waite ) Waite Wote Wanione
Mimi Mars
Ni pale leo Yani kamuti Nimekutana na Malaika
Huwangamani am low-key umekutana na Malaika
Ouoolah
Naona kama wengi wengi mpaka mwisho
Ouoolah
Watu tuko gente gente mpaka mwisho
Kiboko ninawakomesha mpaka wanaomba sorry sema honey
Kumoto nishawasha sijui hata atayezima ni nani
Wanapenda kula (Wooooh Wooooh)
Wanapenda kula
Wanapenda kula
Waite Wote ( Waite ) Waite Wote (Waite)
Waite Wote ( Waite ) Waite Wote Wanione
Waite Wote ( Waite ) Waite Wote (Waite)
Waite Wote ( Waite ) Waite Wote Wanione
Waite Waite Waite Waite Waite Waite