![Watch Your Mouth](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/11/15b79541bb3744e58a99d0524f2e9c12.jpg)
Watch Your Mouth Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Watch Your Mouth - The Band Beca
...
Si ni Band BeCa na vile tunatesa (What you talking bout)
Ikija kwa sauti nani ameweza(what you talking bout)
Comes to good loving nobody do it better(nobody, nobody,nobody)
Umemea pembe nazikata na wembe(watch your mouth)
Kiherehere, perepere,domodomo,pilipili isokuwasha wewe watch your mouth *2
Mmm mmm mmmh(watch your mouth)*2
Band BeCa kwani vipi hii mziki mliacha
(Question Mark)
Mnafanana kwani nyinyi pia huwaga mapacha
(Question Mark)
Mko moshi ama pia hii maji mnakata (Question Mark)
Mnaifanya for the fame ama for the pesa
Hatukuwachar
Answer
Kuwakarangara
Answer
Mtajipangar,we do it for the pesa
Si ni Band beca na vile tunatesa (What you talking bout)
Ikija kwa sauti nani anaweza(what you talking bout)
Comes to good loving nobody do it better(nobody, nobody,nobody)
Umemea pembe nazikata na wembe(watch your mouth)
Kiherehere, perepere,domodomo,pilipili isokuwasha wewe watch your mouth *2
Mmm mmm mmmh(watch your mouth)*2
Me like the bad boy vile anaichapa(chapa)
Na akipull up tonight hatuwezi kataa(kataa)
Aki leo nakata maji
Bila stress tunaparty
Hakuna chaser ni makali
Ka lightweight mpe maji
(Watch your mouth)
Kiherehere, perepere,domodomo,pilipili isokuwasha wewe watch your mouth *2
Mmm mmm mmmh(watch your mouth)*2
Band BeCa kwani vipi hii mziki mliacha
(Question Mark)
Mnafanana kwani nyinyi pia huwaga mapacha
(Question Mark)
Mko moshi ama pia hii maji mnakata (Question Mark)
Mnaifanya for the fame ama for the pesa
Hatukuwachar
Answer
Kuwakaranga
Answer
Mtajipanga,we do it for the pesar