![Yuko](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/22/d5d655165ddf4ce887c98c844e5358f1.jpg)
Yuko Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Yuko - The Band Beca
...
oooh oh oh oh oh oh oooh oh oh oh oh oh oooh oh oh oh oh oh oooh
yuko
mungu wangu yuko
naamini yuko
kila siku yuko
yuko
mungu wangu yuko
tuamini yuko
kila siku yuko
yale umenitendea
asante
kwa afya njema umenipa baba
asante
njia zangu kafungua
asante
kuonesha umeniinua
asante
yuko
mungu wangu yuko
naamini yuko
kila siku yuko
yuko
mungu wangu yuko
tuamini yuko
kila siku yuko
kwenye rent umeniokoa
na mastress umeziondoa
kutuliza na kuokoa
aaii umeniokoa
kwa mashida umenitoa
neno lako kanikomboa
na mimi sitawahi pungukiwa
yuko
mungu wangu yuko
naamini yuko
kila siku yuko
yuko
mungu wangu yuko
tuamini yuko
kila siku yuko
yuko
mungu yuko
oohh yuko
mungu yuko
oooh ooohh
yuko
mungu wangu yuko
asanti
naamini yuko
kila siku yuko
asanti
yuko
mungu wangu yuko
asanti
tuamini yuko
kila siku yuko
asanti
yuko
mungu wangu yuko
asanti
naamini yuko
kila siku yuko
asanti
yuko
mungu wangu yuko
asanti
tuamini yuko
kila siku yuko
asanti