
Umenikamata Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
#Umenikamata - Jux
...
nisikilize navyoimba
na pia navyopiga gitaa
naona watu wamependezaaa aaa
nyuso zao zimejawa furahaaaa
furaha aaa
najua hujui leo hii
kitatokea nini
najua hujui leo hii ii
nitakwambia nini
ntakwambia nini (darling)
chorus
i do this for you
this for you ×3
unajua napenda kukuona wewe ukiwa na furaha
najua thamani na heshima yako
we ndo unanifaa
umenikamata wee ×8
akyamungu we ni mzuuri
you are so beautiful na mungu kakujalia
hauna chembe ya kiburi
we ni msafi wa roho
i dont wanna let you go)
i wanna marry you girl
and nothing comes between us
am gonna give you my love
and make them wanna be us
i do this for you
this for you×4
unajua napenda kukuona wewe ukiwa na furaha
najua thamani na heshima yako kweli unanifaa
umenikamata×8
mummy namuomba mungu
akulindee, akutunzee, na watoto uniletee
wewe ni furaha yangu yanguu yanguu
maisha yanguu ni weweeeeeee
unajua napenda kukuina wewe ukuwa na furaha
najua thamani na heshima yako kweli unanifaa
umenikamata we×8