Zaidi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Zaidi - Jux
...
VERSE:1
Zina nitoka goosebumps nikisikia jina lako.
me nawehuka kabisa me ni chizi wako
Na kama ni mganga eeehh mzuri uyo mganga wako
sio Kwa kunipumbaza huku baby mmmh
mamy ongeza ubuyu nizidi kuumung'unya eeeh.
tena na sukari guru utamu nikitafuna eeeh
baby ongeza ubuyu nizidi kuumung'unya eeeh
tena na sukari guru utamu nikitafuna eeeh
BRIDGE:
mmmmh kama ni pilipili manga acha ukali niusikie
Kama n Vita mama acha adui wanivamie (nananana)
Kama we ni asali mama acha nyuki wanivamie(nananana)
lakini penzi lako baby hata kidogo lisipungue(Nananana)
Zaidi zaidi Zaidi Zaidi zaidi Zaidi mmmh
nipe nipe zaidi Zaidi Zaidi
wewe Zaidi Zaidi Zaidi
wewe nipe zaidi Zaidi Zaidi
àaaah aaaaaaaah
VERSE:2
nanyoosha mikono juu kwako nime surrender
naona maaajabu sungura kazidiwa ujanja
nimekuwa zuzuzuzu
nimekuwa bubububu
nimekuwa mbumbumbu baby ee
nimekuwa Zaidi ya nyumbu
sioni sisikiii àaaah
sioni sisikiii baby aah
BRIDGE:
Kama ni pilipili manga acha ukali niusikie(nananana)
Kama ni Vita mamaa acha adui wanivamie(nananana)
Kama we ni asali mama acha nyuki wanivamie(nananana)
lakini penzi lako baby hata kidogo lisipungue(nononono)
Zaidi Zaidi Zaidi Zaidi mmmh
nipe nipe zaidi Zaidi Zaidi
wewe Zaidi Zaidi Zaidi
wewe nipe zaidi Zaidi Zaidi Zaidi
mamy ongeza ubuyu nizidi kuumung'unya eeeh tena na sukari guru utamu nikitafuna eeeh×2