As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
As Long As You Know (Ilimradi Unajua).MP3 - Jux
...
Heiyee eeeh
Hauna furaha
Haifichi sura yako
Najua una mpenzi
Unampenda ila moyo wako haupo hapo
Unapata karaa
Unatunza utu wako (Mmm)
Labda unajiuliza kwanini nahitaji namba yako. (Ilaaa)
Sio lazima nikipiga simu upokee (Aa aa aa aaah)
Sio lazima message zangu majibu yarejee (Aaa aaa aaah aah)
Nasema sio lazima mi nawe tukae tuongee (Ilaaa)
Ukipata muda (Majiii) yakizidi unga nipigie
Ilimradi unajua (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajuaaa (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajua (Hayee aa hayee hayeee)
Ilimradi unajuaa (Hayee aa hayee hayee)
As Long as You Know, eiiiiiii eeeeh
As long as you know, as long as you know (Aaaaaah)
Nasema joto
Likizidi unapoza na maji
Ila changamoto
Zinapozidi unakosa amani
Kuna umpweke hujiwezi
Unachukia na mapenzi
Kwanini ufe na kitanzi
Wakati mimi nipo na iko wazi
Sio lazima nikipiga simu upokee (Aa aa aa aaah)
Sio lazima massage zangu majibu yarejee (Aaa aaa aaah aah)
Nasema sio lazima mi nawe tukae tuongee ilaa (no no noo)
Ukipata muda ( majiii ) yakizidi unga nipigie, Ilimradi Unajua
Ilimradi unajua (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajuaaa (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajua (Hayee aa hayee hayeee)
Ilimradi unajuaa (Hayee aa hayee hayee)
Mamaa As Long As You Know, Uuuh yeeeeh
Aaa as long as you know, Unajuaaa yeyeee mmmm
Hayee aa hayeee hayeee (Usikose amani)
Hayee aa hayeee hayeee (Mamaa usijitese)
Hayee aa hayee hayeee (I'm here, I'm here , I'm hiiiii)
Hayee aa hayee hayeee (Faraja yako ipo)
Hayee aa hayeee hayeee (Babe usikosee amaniiiii)
Hayee aa hayeee hayeee( aaaaaaaaaaaa aaaaa aaaa)