Looking For U ft. Joh Makini Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2016
Lyrics
Looking For U ft. Joh Makini - Jux
...
Bora nikose pesa, mali, nyumba Gari niwe na wewe nifanye kazi bila salary yote heri niwe na ninavyotaka niwe hawapendi tuwe nielewe bebi ninavyotaka niwe nawe I wish ujue mmmmmh kama alivyosema mama kipi nikufanyie unipende nikupende milele uwe na mie