![Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/A7/50/rBEezlyro36AO-FBAAA1gVpan50103.png)
Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Kiboko (Remix) ft. Khaligraph Jones - Masauti
...
(Eeih) oyayayayah (Masauti)( Kaligraph jones) Kenyan voice its going down (?) Yale itoto Kiboko*2
Napenda vile unavyo dunda kuitembea unafanya nikutaketake kweli mola kakuumba unateketea vileukolit lazma nkukate sijui ka unacopy ya mininani mitaani waniita OG unataka figure toti iko vipikwani we mgeni hapa Nairobi na jinsi anavyo ligidiligidi kana kwamba naifanyanga na digididigidi. chigidi chigidi ana digididigidi mashore wengine sai Ni tbt tbt
CHORUS
Yaani mtoto kiboko
kiboko
Huyu mtoto kiboko
kiboko
Yaani kiboko
Sijamwona kam ye ye ye
Yaani Kiboko *4
Nitadunga suti na tai nimfuate nimnong'oneze... pole pole
nimwambie ye ndo nadai anipe mi mawenge
Mtoto laki nine ... Robbery
Uswazi kote ye ndo ametawala
Sioni noma
akinipa mi nagwara
Figure ka mjaka yaani balaa
Nyuma rikiriki
Shangaa kiunoni imesimama
wima paka alfajiri
Mtoto high class nywele singasinga kimanga... yaani working class bila kusita nang'oa nanga..
chorus
Juu already tushanokiana
lenga huyo boy hata moti Hana
we Ni kiboko so tunaeza sosiana
so go ahead and bust it up Tatiana
We ndo kiboko
kuja international toka local
am the hardest rapper right now kwa soko
and rich too bad boy si msoto
hold on you entice me
and me backing down... so unlikely
no side chick I'll make you my wife
masauti vipi