Kiboko Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Kiboko - Masauti
...
Masauti.... Kenyan boy
Yani toto kiboko *2
ana bonge la nundu akitembea mwendo wake aste aste
rangi yake kaa mzungu
ukimwona lazima yakudondoke mate
anavyodatisha madonga
Kama baro baro
ukijiliza eti unataka pona
mpaka uoge majero jero
Mtoto high class
nywele singa singa kimaanga
yaani working class
bila kusita nan'goa nanga *2
toto kiboko aah kiboko
huyu Mtoto kiboko, kiboko Yaani kiboko
sijamwona kama ye ye ye, yaani kiboko
sijamwona Kama ye ye ye, Yaani kiboko
sijamwona kama ye ye ye,yaani kiboko
nitadunga suti na tie nimfate nimnon'goneze...
nimwambie ye ndo nadai
ananipa mi mawenge
toto la kinai! robari
Swazi kote ye ndo ametawala!
sioni noma yaani mbona so badi akinipa sikatai mi nakwala
figure ka mjaka yaani baala
nyama rigi rigi
kwa shanga kiuno ninasimama wima mpaka alfajiri *2
Mtoto high class nywele singa singa kimaanga,
yaani working class bila kusita nan'goa nanga *2
toto kiboko aah kiboko huyu Mtoto kiboko, kiboko Yaani kiboko
sijamwona kama ye ye ye,yaani kiboko sijamwona kama ye ye ye,yaani kiboko sijamwona kama ye ye ye,yaani kiboko sijamwona kama ye ye ye,yaani kiboko
Kenyan boy
unavyo katika shiro, nyuma ulivyo shona
Doro, nikikupata kwa godoro.... kiboko *2
ye ye ye,yaani kiboko sijamwona kama ye ye ye,yaani kiboko sijamwona kama ye ye ye,yaani kiboko sijamwona kama ye ye ye,yaani kiboko