
Kesho ft. Nadia Mukami Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2024
Lyrics
Kesho ft. Nadia Mukami - Masauti
...
Masautii Kenyan bwoy
Nadia(Queen of the East)
Ninachojua uzee hupo,usichana unakwenda
ule urembo haupo,miaka zilienda
je utanipenda nikipata michirizi?
utanipenda kikija nacho kitambi,
Nauliza utanipenda ,yangu maziwa yakilala?
uzeeni utanipenda,ama utaoa tena??
oh baby!usiwe na shaka,mi mwenzako nakupenda
ule urembo uko,ata miaka ikienda
kwanza ndo utanoga,ukipata michirizi
sio lazima flat tummy ,nitacheza na kitambi
hivyo hivyo nitakupenda,ata kifua kitalala
NAMI uzeeni utanipenda nikipata kihara??
oohh
(kesho)
I hope utanipenda my baby mpaka kesho
kufa kuzikana,mi nawe baby
mpaka kesho niamini nitakupenda baby
mpaka kesho tuzeeke na wewe my baby
mpaka kesho)*3