
Sokote Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Fanya kama unacheza, isokote(Chii)
Binyuka binyuka basi isokote
Fanya kama unacheza, isokote(Chii)
Binyuka binyuka basi, isokote
Binyuka binyuka isokote
Ukipenda Maria nikuhonge mahela mahela mahela
Nipeleke mpera mpera, Maria baby guan tana mera mera mera
Nionyeshe makeke, Mi nataka hio dedede
Popote nikukamate, Kwa ulimi nipake mate
Mi nataka leo ujibambe, We songa nikupakate
Fanya kama unacheza, isokote(Chii)
Binyuka binyuka basi, isokote
Fanya kama unacheza, isokote(Chii)
Binyuka binyuka basi, isokote
Tingisha mingaza ukitetemeka
Safisha kiwanja iyo ngoma inatesa
Utaogopa huko ndani ukisema unanyesha
Nipandishe mizuka niongeze mapresha
Baby do me Coconut eeh(Sokote)
Ikune kama nazi eeh(Sokote)
Ikaze kama nati eeh(Sokote) Sokote sokote sokote sokote
Baby do me Coconut eeh(Sokote)
Ikune kama nazi eeh(Sokote)
Ikaze kama nati eeh sokote sokote sokote sokote sokote
Nionyeshe mateso, baby ready
Kwa beddy ka karate, ready ready
Girl girl nipate bedii bedii Baby ready ready ready ready
Nionyeshe mateso, baby ready(Isokote)
Kwa beddy ka karate, ready ready
Girl girl nipate bedii bedii(Isokote) Baby ready ready ready ready
Fanya kama unacheza isokote(Chii)
Binyuka binyuka basi isokote
Fanya kama unacheza isokote(Chii)
Binyuka binyuka basi isokote
Isokote, isokote, isokote, isokote