Ni Wewe ft. Godfrey Steven Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Ni Wewe ft. Godfrey Steven - Mathias Walichupa
...
Mhmhh mmmh mmmh mmHg
eeh
from January to December
niye njo alinilindaaaa
ni wewe
Tangu mauwio,machweo alinipa huu mwangazaaaa
ni wewe
Tatizo huzuni,Furaha zote unanipa amanii
milimani,mabondeni kote unakuwa nami
nchi ya ahadi
aah aah
ni nzuri
eh
imejawa na asali
iyee iyee iyee iyee
mwisho wa njia
aah aah
ni nzuri kuliko mwanzoni
kwa kunifikisha mbali ni wewe