Nitashinda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Hu ndio utambulisho wangu
Kwamba mi ni mzawa
Wa kifalme alinijua
Tangu mawazoni mwake
Alishanichagua niwe
Wa upande wake
Ugumu wa changamoto
zinazo nikabili
Hautoshi kubadili mawazo
Mungu anayoniwazia
Nina imani upo wakati
Ambao mema
uliyopanga yatatimia Maana
Sijaandikiwa kushindwa aah
Nimeandikiwa kushinda Aah
MUNGU yupo upande wangu uuh
Nitashinda zaidi ya kushinda
Nina imani nitashinda (Aah)
Mi nitashinda (Aah)
Mimi nitashinda (Aah)
Najua uko upande wangu
Naamini (Aah)
Mi nitashinda (Aah)
Mimi nitashinda (Aah)
YESU uko upande wangu naamini
Naamini Naamini Iyeiyeee
Kwako nitangoja (neno lako)
Kwako nitangoja (sauti yako)
Kwako nitangoja kibali chako
Bwana unipatie
Nitangoja (Amani yangu)
Nitangoja (uponyaji wangu)
Uweponi mwako YESU nitakaa
Maana ukiwa upande wangu (Hakuna)
Ni nani aliye juu yangu (Hakuna)
Hakuna (Hakuna)
Iyeiyeeee
Tena ukisema ndio (Hakuna)
Nani Apinge eeh (Hakuna)
Hakuna (Hakuna)
Nitashinda kwa maana
Sijaandikiwa kushindwa aah
Nimeandikiwa kushinda Aah
MUNGU yuko upande wangu uuh
Nitashinda zaidi ya kushinda
Aaah (Aaah)
Mi nitashinda (Aah)
Mimi nitashinda (Aah)
Najua uko upande wangu
Naamini (Aah)
Mi nitashinda (Aah)
Mimi nitashinda (Aah)
YESU uko upande wangu
Naamini (Aah)
Iyeiyeee
Maana ukiwa upande wangu
Hakuna
Ni nani aliye juu yangu
Hakuna
Hakuna Hakuna