Sifa za Moyo (Choir Version) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Sifa za Moyo (Choir Version) - Mathias Walichupa
...
Oh uwo uwo uwo wo uwouwo uwo hizi ni sifa za moyo wangu, nazileta kwako eeh Mungu nakuomba eloi eeh we zipokee×2 Verse ulikonitoa bwana wangu, ni mbali saaana, ni mbali saaaana sikudhaniwa, naa ulinichagua mimi bwana, na udhaifu wangu, ulinipenda mimiiiiiiii pasi na sababu. Sasa narudisha sifa bwana (sifa), narudisha sifa bwana, na heshiiiimaaaa uzipokee teena nanyenyekea kwako wee, nanyenyekea kwako wee, Yesu Mwokozi, wa Maisha yangu. (Narudisha), Narudisha sifa bwana , narudisha sifa bwana, na heshimaaaaaa uzipokeeeee, teena nanyenyekea kwako wee, nanyenyekea kwako wee,Yesu mwokozi wa Maisha yangu uuuh Bwana.... mmmmmhhhhh,wouwo uwo uwooo haleluyah, Haleluya... kwa shangwe, nazileta kwa shangweee sifa za Moyo wangu, bwana ,zipokee