Nimeketishwa Juu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Aaah oouuaaa
Oouoo ooooo
Ninapotafakari
Wema wa MUNGU
Nakosa neno kusema
Naona ni fahari
Pekee nisingeweza
(BWANA Minashukuru Maana)
Nilipewa majina
Wakati wa kushindwa
Yaizuie hatima ooh
YESU umefuta
Umenipa jina jipya
naitwa Mbarikiwa eh
Nimeketishwa juu kule
Juu kule juu kule
Alikopanga MUNGU kule
Juu kule juu kule
Amenipa Majibu (paarara)
Amenipa Furaha (paarara)
Naamani (paarara)
Kaniweka Juu kule
Mimi si wajana (paarara)
Amenipa Testimony (paarara)
Amenitoa chini (paarara)
Kaniweka Juu kule
Mimi wa leo (sikama wa jana)
Mambo yamebadilika
Hakuna Mlima Hakuna ukuta
Wakuzuia (Baraka za MUNGU)
Akisema ndio hakuna wa kupinga
Ahadi zake BWANA nikamilifu
Mimi nimeziona fadhili za BWANA
Amenitendea amenitendea BWANA mimi
Nimeketishwa juu kule
Juu kule juu kule
Mahali pa heshima
Alikopanga MUNGU kule
Juu kule juu kule
Amenipa Majibu (paarara)
Amenipa Furaha (paarara)
Naamani (paarara)
Kaniweka Juu kule
Mimi si wajana (paarara)
Amenipa Testimony (paarara)
Amenitoa chini (paarara)
Kaniweka Juu kule
ouuooo ooo