![Uwiu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/02/5dae7cf0e7f1490cbf1e5ff36fefce67.jpg)
Uwiu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Uwiu - Barnaba Classic (TZ)
...
nilispend muda mwingi sana kukupata haikua rahisi nilisafa,
shimo nililochimba kina kirefu sana baby, mtaani wanajiitaga majuba kazi ndoa za watu kuvuruga chunga chunga sana maneno kama spanner mpenzi aahh kiss kubali si tumetoka mbali hawaijui safari oooohhh si tumepewa kibali na mwenyezi manani mie tamu yako halali oooohh... enh
mi nakupenda uwiu
you're fresh like a uwiu
my baby wangu uwiu ooohhh....
you such a beautiful uwiu
you're fresh like a uwiu
i love baby uwiu ooohhh.....
kipi nachoulizwa nikiwa kwenye yangu line chokochoko za nini wakati tuko fine umbea unamaliza bando niwaambie huyu she is my finally
sipendii kuona watu wanaandamanaa kusema vyangu na wangu visionamana kusiliba tuu.....
oohhhh ooyeehhh....
usidhani kama kaja kwangu kajileta tu nilisafa mchana na usiku maana penzi lake ni bora na nusu aahhhh.....
maneno tusiwape mungu atujalie one day shabamiti wale bahari yetu wasiogelee si tumepewa kibali na mwenyezi manani mie tamu yako halali oooohh..... enh
mi nakupenda uwiu
you're fresh like a uwiu
my baby wangu uwiu oooohh.....
you're such a beautiful uwiu
you're fresh like a uwiu
i love baby uwiu oooohh .......