![Nibusu ft. Yammi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/02/19a12bdde24a4637aa49031fcabe0807_464_464.jpg)
Nibusu ft. Yammi Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
Lyrics
Nibusu ft. Yammi - Barnaba
...
Aah you’re bad man
Yummy yummy
Mmh mmh
How sweet inside i be
Dripping when i get inside
Turning to ups and down crazy
Looking when I squeeze inside
Sweet like my hot
Green tea
Mama you looking sexy tonight
About a sweet thing , thing she
Not the one I touched is mine
On my way to my friends
Right now i’ve been looking man
I’ll be inside
Cause i never friend to mind
Come over and let me give you right
Let me show ‘bout a drip of mine
Tell take it off let me see you shine
Let me show you that we both mine
Take it off let me see you shine
Oh oh oh kwako nimezama penzi ninelipatia mazima .
Jeuri sina hadi nitafia madina
Vyakuiba avinogi nimeshindwa
Nilisema
Napita mwishowe nimezama
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu(hadharani)
Nimumu(hadharani )2
Nami nikuchumu(hadharani )2
Habiby usingizi ndo kitu nakosa mpenzi
Nanikikosa ile kitu ndo
Kabisa silali mpenzi
Nazidiwa
Nusu kaputi nusu mgonjwa
Najifia baby na sindano yako
Ndo yanitosha kutibu yangu maradhi
Kama mende nikochali
Penzi kali kata na kisu kikali toto
Upepo wa bahari wanitulizaga najikuta mbali kidogo na ulivyo mtamu kama pipi
Sijui nikufananishe na nani
Yakumung’unya yakijiti kwa kuitaja
Matendo gani sweety like my heart ❤️
Pretty mama you’re looking sexy tonight
I beat about a sweet thing thing
And she knows i wanna touch his mind
Yeah I’m in coy baby
Kwako nimezama penzi nipatie mazima
Jeuri sina haki nitafia madina
Vya kuibaiba havinogi nimeshindwa
Nilisema napita mwishowe nimezama
Nibusu (chorus )
By Whitney aka special _one_ney