
Warohoni ft. Young Lunya Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Warohoni ft. Young Lunya - Barnaba Classic (TZ)
...
I just wanna spend ma life with you baby
I just wanna spend ma life with you darling
Nife unizike ufe nikuzike mpenzi
Kama Kitandani tuko wote kaburini tuwe wote baby
Turn around nikwambie akuna wewe bila mie hakuna mie bila wewe lazizi iih.
umebarikiwe Roho ooh mpenzi tufe tuzikane ooh lazizi wakileta chokochoko mpenxi hatuna time tuko busy
whatsup my boo twende kiwanja gani nieleze my boo usinipe tabu kama maswali yao wewe ndo jawabu X 2