
Hunitaki ft. Mbosso Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Hunitaki ft. Mbosso - Barnaba Classic (TZ)
...
yaaaaga
Nakutumia massage hujibu (Fine Fine Fine)
Ukiniona haunisalimii (Fine Fine Fine)
ukiniona unabadili njia pia (Fine Fine Fine)
Hata massage zangu hujibu bas (Fine Fine Fine)
Nahis kufa kufa
Penzi bila yeyw nyumba bila ukuta
Penzi lina nyufa bas (Fine Fine Fine)
Pumzi yangu oxygen ñdio yeye
Amenitelekezaga mwenyewe
Nami siwez hema bila yeye basi (Fine Fine Fine)
Mimi jongoo miguu mingi sion sina macho
Nimehonga roho na sirini kurudisha uwepo wako
badooo
Bado bado nakukumbuka bado kichwani
kichwa unanipasua bado bado nakukumbuka bado
Nashindwa kulala bàdo bado nakukumbuka bado
Nakuota ota bado bado nakukumbuka bado
aaaah mchwaaaa wameushambulia mgomba
Walianza kula mizizi wamemaliza mkonga
Musaaa alinisimulia mjomba
Penzi ni sukali ya ndizi ila ni kkama embe uvyonda
Ushuhuda wa mapenzi kijumbe ngoswe
Hii vita mi siiwez sina dhana yoyote
Nilijitahidi ssana itunguu kupatikana
Nikakopakopa vinyanya aaaah
Yapo yalo wezekana na machache kushindikana
waa tulishindwana aaaaaah
Mimi jongoo miguu mingi sion sina macho
nimehonga roho na shiling kurudisha uwepo wako
mi badooo
bado bado nakukumbuka bado
Mwenzako bado
bado bado nakukumbuka bado
nachanganyikiwa mi
Bado bado nakukumbuka bado
nimezidiwa
bado bado nakukumbuka bado
iiiiiiiiiiiiih
Added by
Prince wa kigoma