![Tamu ft. Nandy](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/16/0059157224ca4a34be9a0aca21e00d41_464_464.jpg)
Tamu ft. Nandy Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Tamu ft. Nandy - Barnaba Classic (TZ)
...
..............
Ahhhh
Ahhhh
Ehhhh
Ohh na na na na na
Penzi langu wali hudi ali hudi lanukiaa
Kumpenda sina budi
Nitangaze hadharani ikibidi
Tufanye makusudi
Hatuogopi tantalila zao
Maneno nchajao
Wanafanya maneno baby
Sitofanya matendo
Imani niliyonayo ilitengenezwa na wewe
Huko nyuma nilianguka
Ukaniokota ukanipangusa
Upendo tulionao umetengenezwa na mm nawe
Hapo nyuma walituangusha tukanyanyuka
Penzi Tamu
Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jamani mapenzi matamu
Penzi Tamu
Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jamani mapenzi matamu
Anhhh
Aiyaaaaa
Ahhhhh
Ohhhhh ohhhhhh
Nandy.........
Ohh Papa
Kwenye moyo wangu ushauweka alama na chata
Kukupenda wewe sina shaka anhhh
Mhhhhhh
Kwenye akili yangu ni wewe pekee ndo menikaa
Kwengine roho inakataa
Ohhh
Moyo umekwamini
Maana huniishi akilini
Sijui umenipa nini
Mhhh
Au umenitupia kajini
Ndomana umeniwini
Maana huniishi akiliniiiii
Ahhh Tell them my love
Imani niliyonayo ilitengenezwa na wewe
Huko nyuma nilianguka
Ukaniokota ukanipangusa
Upendo tulionao umetengenezwa na mm nawe
Hapo nyuma walituangusha tukanyanyuka
Penzi Tamu (ohhh)
Neno penzi kwangu tamu (baby )
Neno penzi kwangu tamu
Jamani mapenzi matamu (jamani mapenzi matamu)
Penzi Tamu
Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jamani mapenzi matamu
Tamu baby
This is barn boy classic
Comix lizer