![Hadithi ft. Diamond Platnumz](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/16/0059157224ca4a34be9a0aca21e00d41_464_464.jpg)
Hadithi ft. Diamond Platnumz Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Hadithi ft. Diamond Platnumz - Barnaba Classic (TZ)
...
Aaaaaah
(ayo lizer)
oooooooooh
Mtume roho yangu
Inashindwa kuvumilina si kwa kwa mahaba anayo nipa
yazid mpaka namwagikiwa
Ananipa vinono
Mpaka nahis changanyikiwa
hongera wake somo
Mtoto kafundwa katimilia
Wali kwa maini
maji abdala siini
Na nikirud nyumbani
Ananiuliza nianze chakula ama mwili
Hapo ndio ananivulugaga
Kichwa kinaumaga na ninawaitaga
mnipe ushauri
aaah
Hadith Hadith
Tam kolea
Mwenzenu mm
Tam kolea
Mchumba wangu
Tam kolea
aaahh
sisem
Tam kolea
Hadith Hadith
Tam kolea
mwenzenu mm
Tam kolea
mchumba wangu
Tam kolea
basi sisem
Kanionesha jua la asubuh
linavyo penya kwa dirisha
Na mizungu ambayo siijui
amenifundisha
shombo na maa'rani oooh
Amenisafisha
Kama hoi sijitambui
Navyo jibebishaaa
Kanitunza mahaba
Tamu kutaridadi ebeneb
kibaba baba michezo ya makidakida
Tunawakela waja mbona mtapata shida
niwape ssiri abda puto limepata mwiba
aaaah nilonge ni silonge (longa)
Mwenzenu mi (longa)
My baby wangu (longa)
Na mlove
Hadith Hadith
Tam kolea
mwenzenu mm
Tam kolea
mchumba wangu
Tam kolea
bas sisem
Tam kolea
Hadith Hadith
Tam kolea
mwenzenu mm
Tam kolea
mchumba wangu
Tam kolea
aku sisem
Added by
Prince wa kigoma