![Kidera](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/02/5dae7cf0e7f1490cbf1e5ff36fefce67.jpg)
Kidera Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Kidera - Barnaba Classic (TZ)
...
Eeeh
ur bad man mopaooo
Ehehehehe aanatupikuuu
Mutoto kakunja delaa
Katikati ya masela
Eh eh, wazee vipi
(aaah) Anatupikuu
Mutoto kisambusa (Eeh)
Amina shika ukuta Mama
Nisimamie ukucha (sgssss..)
Sio sanaa....kidogo tu .
Usisahau mafuta
Upepo mwingi utapauka Mama
Hatujifuniki shuka
Chumbani tunakiputa Mama
Nimekuita mwenyewe unakuja na timu
Raha ya bia tulewe (chiiiii)
Tupandishe stimuu (mama)
Dawa ya mooto ni motoo
Yamoto ni motoo
Dawa ya mooto ni motoo
Tunakolezaa
(Wewe)
Mama Sitaki maharage nataka mlenda
Nakupa sababu moja tu (chwiiii)
Unateleza (mama)
Dawa ya mooto ni motoo
Yamoto ni motoo
Dawa ya mooto ni motoo
Nimitoooh
Tunakolezaa
Waungwana ninaswali (ulizaaaaa)
Niwaswalijeee
Ngoma ikivumaaaa (aha) inakuwajeee
(Ahaaaa inapasuka)
Inapasukaeh
(Inapasuka)
Inapasuka
(Inapasuka)
Pasuka .... ...
Mutoto kisambusa (Eeh)
Amina shika ukuta Mama
Nisimamie ukucha (sgssss..)
Sio sanaa....kidogo tu .
Usisahau mafuta
Upepo mwingi utapauka Mama
Hatujifuniki shuka
Chumban tunakiputa Mama
Nimekuita mwenyewe unakuja na timu
Raha ya bia tulewe (chiiiii)
Tupandishe stimuu Mama
Dawa ya mooto ni motoo
Yamoto ni motoo
Dawa ya mooto ni motoo
Tunakolezaa
(Wewe)
Mama Sitaki maharage nataka mlenda
Nakupa sababu moja tu (chwiiii)
Unateleza Mama
Dawa ya mooto ni motoo
Yamoto ni motoo
Dawa ya mooto ni motoo
Nimitoooh
Tunakolezaa
Waungwana ninaswali (ulizaaaaa)
Niwaswalijeee
Ngoma ikivumaaaa (aha) inakuwajeee
(Ahaaaa inapasuka)
Inapasukaeh
(Inapasuka)
Inapasuka
(Inapasuka)
Pasuka .... ...
(Chwiiiiiii ehe h)
Dawa ya moto ni moto
Yamoto ni moto
Dawa ya moto ni moto
Unakoleza
Weweeh
Mama sitaki maharage nataka mlenda
Nakupa sababu moja tu unateleza mama
Dawa ya moto ni moto
Yamoto ni moto
Dawa ya moto ni moto
Unakoleza
Kamix laizerr