Amen Remix ft. Kala Jeremiah Lady JayDee Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Amen Remix ft. Kala Jeremiah Lady JayDee - Rapcha
...
matendo yako ni ya ajabu kabisa
nimeshidwa kueleza nakua bubu kabisa
nakufanyia misa
mi mtumishi wako ka kengele za kanisa
nitume niiokoe
israel kama musa
nina ushahidi mkono wako umenigusa
sikuwahi kuwa hivi hakika umenivusha kwenye malisho yako baba umenilisha
umenipa uzao na nguvu za kuzalisha
eee baba umenibariki maisha
wale adui zangu walio taka kuni felisha
uli wapa mapigo makali ya kuaibisha
asante kwa karama ya tungo za kuelimisha
ningekuwa wapi bila kipawa cha kufundisha
baraka zako na upendo vya nitisha
kwakunithamini nilikua uchi uka nivisha
ameni baba aameni
upedo wako huruma yako
aaameni
wemawako utukufu wako
aaameni
aameni baba aameni
umenipa maarifa umenipa uhai umenipa mali atanacho kipaji siwezi sema sija ridhikaa
umenipa kile ulicho nipa hukuni tupa
nami sitaki juta baba nasema
" aameni "
(aaa) nilipo hisi upweke kwenye moyo na mawazo kunchakaza
wanadam nikawaomba msada waka ntangaza
nikainua macho kwako ukaniambia mwanangu nikabidhi shida ukanifuta chozi nikanyamaza
sina chakulaumu neno lako ladumu nikikuamini unarahisisha ninayo
yaona magum
ulinipa muda mrefu wakujaribu kuji
rekebisa na kutubu dhambi kabla
hauja niukum
(baba)
kazi za dunia nikusahau na nasahau wewe ndie unaenipa nguvu ya
kuzifanya
lakini bado una nipenda sana
ungehesabu makosa yetu hakuna
ambae ange bahatika kukuona
kukuamini inabidi uli ruhusu nifukuzwe kazi ili unipe nzuri zaidi
unajua hamu niliyo nayo ya kuiona pepo nijalie nife kwenye imani ntapo
fika mwisho
ameni baba aameni
upendo wako huruma yako
aameni
wemawako utukufu wako
aaameni
aameni baba aameni
by geel tz