Nongwa "Freestyle" Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Nongwa "Freestyle" - Rapcha
...
Tongwe Recordzss
Last king of 90's baby
Wanangu wa 99 what's up
Basi toa location Toa code someka,
Nani anaekiwasha Tz inaeleweka,
Nina bars nyingi check machiz wanavyo bweka,
Nyumba kaachwa mjomba Yan haina kudeka.
Yeah it's A new chapter,
Wako buzy wanatoa sababu why ninahit faster,
Mtamaliza bando msimalize utata,
Hujui kuwa mwenye kisu kikal sahv kawa rasta.
Kwanza umri hauna offer,
Kama hauna plans life itakudich mbaya usiwe lofa,
Huku mjin mambo faster,
Usitoe macho kama umeona fisi Kariakoo au ngiri Posta.
Kipimo cha u star 2one papers.
Nkifanyikiwa alfu kuanza nikataa wen hater,
Story za chapaa hapa leta,
Tunachanga wopa afu tunawahi Bar kama waiter.
Bar zmenzid age maybe Coz nlianza kwenda Bar kabla hat cja fika legal age,
Maybe kipindi shule maticha wa n piga stick,
Mi tayar nlikuwa nshajaza stick in Ma head.
Education is the key of life bahat Nzuri nilizaliwa na master key the gift of life..
That means my birth was may first degree,
E'n my Mom was my mentor aliyefanya niwe Real.
Now you know I'm hot Nigga, don't u wanna be like this?
N'kuja kama Schwarzenegger ghafla naivuruga peace.
Kichwa kiko smart ila cko hvyo unvyohisi
I don't do hard liquor, what about Cannabisi!
Kama utani nai play game kama lottery.
Kila Ngoma ina bang bang hebu ona Kam hii,
Ten 10 nkizikamata cku nkivuta Benzi,
Shingo naitundika macheni Chen na Rozary.
speed said ya 100 na sichoki,
Kwanza nna unyama alfu pili nakama hamng'oko Bonta,
Wana wanye bia watoe locki,
Wakumbushe bili haijalipiwa wajikoki.. (uhh)
Kunckiliza nikiwa na Rap ni raha kama Orgasm,
Daam! Can u fell that?.. Uuh!
Giving u some real Ass barz with the new swagg,
Na of course watoto wananizimia kama Snapchat.. Now
Nmezaliwa kushinda ila nkishindwa cmchuki mshindi,
Kinda siogopi matusi Nmezaliwa stand,
Nmeaga home naenda kukiputa,
Kama nsposhinda basi maiti mtaikuta uwanja wa vita.
-------------------TUNCHYII! --------------------------
# Lyrics by Rapcha
# written by Elia Gerson