![Niache](https://source.boomplaymusic.com/group1/M03/7E/EE/rBEezlw8eTGAUdCpAAC9GnF-oG0213.jpg)
Niache Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Niache - Mimi Mars
...
.................
Kila hatua dua
Nishasahau zile njia
Tulizopitia
Midomo kungakangaka
Maneno bila mipaka
Kuamini sikuwe moyo sikumpa mwingine
Sikujua mbeleni ingeleta kisirani
Ukanishusha dhamani
Sitaki Ngoo !!
Nenda zakooo!!! Aiyee
Hukujia ulichonacho ukaanza Leta miyeyusho
Never never never neee
Never never never neeeeh
Hebu Níách3 mi3333333
Hebu Niache mieeeh eeh
hebu Niache eiyeah
hebu Niache Eiyeah
hebu Niache eiyeah
Hebu Niache mieeeee
Hebu Niache mieeeee
niache mieeeee
niache mieeeee
hebu niache mieeeee
Sitaki kung'ang'ana kwanza hunidai
Kuliko kuninanga Nisha kijinai
Ooooh yeah
Bado nadanga natamba tamba
Babu punguza Kiranga kiranga
Meri nishanowa nanga nanga
Asili ni ngumu kuwamba wamba aaah
Hukujua ulichonacho
Ukaanza Leta miyeyusho
Never never never neeeeh
Never never never neeeeh
Hebu Niache mieeeee
Hebu Niache mieeeee eeh
Hebu Niache eiyeah
Hebu Niache eiyeah
Hebu Niache eiyeah
Hebu Niache mieeeee
Hebu Niache mieeeee
niache mieeeee
niache mieeeee
hebu niache mieeeee
Ukanichoma msumari
Ukanipiga kabai
Ukaniona mm simwai
Ulazima kibatari
Ukanichoma msumari
Ukanipiga kabai
Ukaniona mm simwai
Ulazima kibatari
Tebe tebe iyeeeh
misi mwenda kebe kebe iyeeeh
ooooh nachimwenda iyeeeh
nachimwenda iyeeeh
Hebu Niache mieeeee
Hebu Niache mieeeee eeh
Hebu Niache eiyeah
Hebu Niache eiyeah
Hebu Niache eiyeah
Hebu Niache mieeeee
Hebu Niache mieeeee
niache mieeeee
niache mieeeee
hebu niache mieeeee
.................... 3nd ......................