Sitamani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Sitamani - Mimi Mars
...
switch
sifikirii mangapi nafanya
kukuridhisha baba we.....
sitamani kuwa na we tena ..tenaaa
aaaaaaaahhhhhhhh
na vile mi nimefuzwa vyema
nikavumilia kuwa na we..
siamini wahenga waliiisemaa,sema
aaaaaaaahhhhhhhh
ni vyema kupenda ukipendwaaa
na unapopendwa pendaa
ucje penda usipopendwa..,pendwaa
aaaaaaaahhhhhhhh
sitamani tena kupenda
nilishapenda na kutendwa
sitopenda nisipopendwa.....
tenaaa
aaaaaaaahhhhhhhh
sitamani......
sifikiriiii.......
sidhani.....
kuwa na mi....
kukupenda nikupe ka moyo
ila ukaniona ni kama koloo
unavyotaka ctoweza fanya
mifupa cwezi mi kibogoyooo
kukupenda nikupe ka moyo
ila ukaniona ni kama koloo
unavyotaka ctoweza fanya
mifupa cwezi mwenzio mi kibogoyooo
ni vyema kupenda ukipendwaaa
na unapopendwa pendaa
ucje penda usipopendwa pendwaaaa
aaaaaaaahhhhhhhh
sitamani tena kupenda
nilishapenda na kutendwa
sitopenda nisipopendwa
tenaaa
aaaaaaaahhhhhhhh
sitamani.....
sifikirii.......
sidhani.......
kuwa nami....
sitamani....yeah..yeah ....×3
sitamaniiiii....
ni vyema kupenda ukipendwaaa
na unapopendwa pendaa mpendwaaaa
ucje penda usipopendwa pendwaaaa
sitamani tena kupenda
nilishapenda na kutendwaaaa