Hakuna Noma Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Hakuna Noma - Mimi Mars
...
(Kimambo....)
Kama ukiniona nafurahi,
Jua ni Jah ka-bless
Jua ni Jah ka-bless
Na ukiniona najidai
Jua ni Jah ka-bless
Jua ni Jah ka-bless
We here today
Huko tulipo toka
Tulishaga dondoka
Asaivi tupo okay
We here today
Wala hatujawai choka
Waliodhani tutasota
Saivi ndo hawana say
Hakuna noma
No kisirani
Mwendo wa burudani yeah, yeah, yeah
Ushanisoma
Kama kucheza uwanjani
Unamuogopa nani yeah, yeah, yeah
Wacha waongee
Si tunalindwa na baba eh ayeah ayeah
Acha tusherekee
Stress mawazo badae ayeah ayeah
(Leo ni party after party)
Leo ni party after party
Binadamu hawakosi cha kusema
Hata ukiwafanyia jema
Bado watakukosea tena
Na Mungu baba kanipangalia mema
Kanipa pumzi na neema
Nami naiona nyota njema
Hakuna noma
No kisirani
Mwendo wa burudani yeah, yeah, yeah
Ushanisoma
Kama kucheza uwanjani
Unamuogopa nani yeah, yeah, yeah
Wacha waongee
Si tunalindwa na baba eh ayeah ayeah
Acha tusherekee
Stress mawazo badae ayeah ayeah