![EX](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0C/B0/84/rBEeNF2cOnSAO8pMAACX0SClVIY191.jpg)
EX Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
EX - Mimi Mars
...
yeeeeaaahh mimi marz sugar queen ushanitoa nuksi kulalama lalama kisa penzi la nikorogo we ndio mganguzi ulionipa matibabu na ule utamu kunoga miguu isiwavimbe kiukweli kweli vijuso vyao visio na haiya, wivu uwasonge wenye kejeli waficha nyeti kwa vijibwaia, bendera yafuata upepo nilichotaka kishatimia , tunasubiri kuiona pepo kwavile jaka tutanukia eeehhh
ex nenda salama, wasalimia hao vimada wa bongo wenye bichi, mwenzako nampa nyama, haichomi anaila hata kama ikiwa mbichi
akitomasa, akishika pole pole