
Shuga Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Shuga - Mimi Mars
...
Evretin na Shuga ( Shuga)
Evertin na Shuga ( Shuga)
{eh jaybosels}
Shuga ( Everytin na. )
I know you ' re very busy baby you ' ve been working all day ( tulia )
And you ' re always on the road getting that paper ( to make me smile)
Na ninataka ukirudi nikupokee
Kisha unieleze ulikotoka Maana najua umechoka
Shuga ( you ' re my baby)
Forever ( we gon make it boo )
Together ( me na weeee )
Kwani vile tunapendana ×2
Yote tisa ( kumi )
Nimeridhika ( mimi )
Kila kitu ananipa
Akiniona anawika ( yes)
My baby knows that
I am the chosen If i am open
Na ninataka ukirudi nikupokee
Kisha unieleze ulikotoka
Maana najua umechoka
Shuga ( you ' re my baby)
Forever ( we gon make it boo )
Together ( me na weeee )
Kwani vile tunapendana ×2
Mi nakuwaza wewe
Siwezi bila wewe
Eti niishi mi mwenyewe
Maisha yangu bila wewe
Mi kuku wewe mwewe
Ninyakue twende mbele
Maana siwezi bila wewe
Uko kwenye Roooooohooooooo
Shuga ( you ' re my baby)
Forever ( we gon make it boo )
Together ( me na weeee )
Kwani vile tunapendana ×2
Shuga you ' re my baby
Shuga you ' re my darling
Shuga you ' re my everything
Oh Shuga Shuga
Shuga lips like shuga
Shuga kiss like s huga
Everytime we kiss na shuga
Shuga Shuga
Everytin na shuga ( shuga)
Everytin na shuga ( shuga)
Everytin na shuga ( shuga)
Everytin Everytin
( the end)