Samaleko Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Name
Samaleko
si mlisema hatufiki mbali
leo
mwatuonaje
samaleko
nendeni mkaseme sisi wala hatujali
Ninachojua i’m lovin you baby
nimekupa moyo wangu ubebe
no life without you baby
ntakufa kikatiriri baby
darling mpaka tumefanana
sijutii kujuana
kwako na tuwama
your love is true
mapenzi kuridhiana
kwako ntabanana
nawe mpaka kiama
your love is true
La La la la la la la la
La la la la la laa la la
La La la la la la la la
La la la la la laa la la
This is the place i deserve to be
let me dance to your heart beat
hili jimbo lako honey
siambiwi na sisikii
eti
aniache
amuachie nani
me ndo tamu yake
kalituliza ruhani
aniache
amuachie nani
me ndo tamu yake
kalituliza ruhani
darling mpaka tumefanana
sijutii kujuana
kwako na tuwama
your love is true
mapenzi kuridhiana
kwako ntabanana
nawe mpaka kiama
your love is true
La La la la la la la la
La la la la la laa la la
La La la la la la la la
La la la la la laa la la
....