
Ni Mungu ft. Walter Chilambo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Ni Mungu ft. Walter Chilambo - Sara Nyongole
...
Hakunaga jina chini ya jua(ahh)
usilolitambua na kulijua aah
hata vya sirini unavijuaaa
vilivyo ndani ya vipindi vya moyo
unavijuaaa, siwezi kuficha chochotee
mama moyo wangu kwako umejifunuaa
siwezi kuongopa chochotee maana moyo wangu unajivua kwako