Nimerudi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mimi ni yule niliyekuja jana
Nikaleta maombi madhabahuni pako
Mimi ni yule niliyekuja na kitabu
Kilichojaa machozi ila sikuandika kitu
Mimi ni yule niliyeleta hoja
Zisizozungumzika ila ulinielewa
Nimerudi kwako kusema asante
Maana yote niliyoyaomba yametokea
Hata nashindwa kulala moyo umejawa shukurani
Nikikumbuka mema yote uliyonitendea
Asante kwa jana maana ilinifundisha
Napaswa kuvumilia wala sikunung'unika
Asante kwa leo umenisimamisha
Nimeketi na wakuu Bwana umeniheshimisha
Baba nimeona (Wema wako)
Hayo ni matendo yako (Nashukuru Baba)
Sina maneno ya kusema (Wema wako)
Kweli ni wema wako (Nashukuru Baba)
Ooh ouu oh (Asante)
Asante (Asante)
Asante (Asante)
Asante (Asante)
Asante (Asante)
Asante (Nashukuru)
Sina maneno ya kusema (Asante)
Asante (Asante)
Asante (Asante)
Asante (Asante)
Asante (Asante)
Nashukuru (Nashukuru)
Ni kweli ukiahidi unatimiza
Wewe si mwanadamu hata useme uongo
Ahadi zako kweli, ni kweli na Amina
Ukisema ndio hakuna wa kupinga
ooh Bwana (Asante)
Asante (Asante)
Asante (Asante)
Asante (Asante)
Asante (Asante)
(Nashukuru)
Bwana asante (Asante)
Nashukuru (Asante)
Asante (Asante)
Asante (Asante)
Asante (Asante)
(Nashukuru)
Kwa wema wako (Asante)
Asante (Asante)
Asante Bwana (Asante)
Asante Yesu (Asante)
Asante (Asante)
(Nashukuru)
Aaaaaa (Asante)
(Asante)
Asante (Asante)
Asante (Asante)
Asante Mungu wangu (Asante)
(Nashukuru)
Kwa yote umetenda kwangu
Asante Bwana wangu
Asante kwa pendo lako
La thamani
Asante
Mimi ni yule niliyekuja jana
Nikaleta maombi madhabahuni pako
Mimi ni yule niliyekuja na kitabu
Kilichojaa machozi ila sikuandika kitu
Mimi ni yule niliyeleta hoja
Zisizozungumzika ila ulinielewa
Nimerudi kwako kusema asante
Maana yote niliyoyaomba yametokea
Nimerudi kusema asante
Nimeyaona kwa macho
Matendo yako asante