![Mkono Wako](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/05/7967d89d5e054a5e86d3886cf0b00f8d.jpg)
Mkono Wako Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Mkono Wako - Sara Nyongole
...
...........
mmmmhhhh~mmmhhh
Moyo wangu watamani nitengeneze kibanda changu mimi nawe
Nafsi yangu yatamani nitengeneze kibanda changu mimi naweee
mimi nawewe tuketi humo ili niwe karibu nawe siku zote maishani
ooooooh~ooooooh
mimi nawe tuketi humo ili niwe karibu nawe siku zote maishani
mmmmhh~mmmh
Uweza wako ninaomba nguvu zako ninaomba mkono wako unigusee
Uweza wako ninaomba nguvu zako ninaomba mkono wako unigusee
{ni ombi languu}
uweza wako ninaomba nguvu zako {ninaombaaa}
ninaomba mkono wako unigusee
{ninaoooooo...}
Uweza wako ninaomba nguvu zako ninaomba mkono wako unigusee
Mkono wako si mfupi
sikio lako sio zitoo hata usisikie ombi langu najua unanitazama
mkono wako si mfupi oooh sikio lako sio zito oooooh najua unanitazama na ombi langu umelisikia
{mkono wakooo}
mkono wako si mfupi usinigusee
{ hoooo na sikio lako babababaaa} sikio lako sio zito { sio zitoo usisikiee} usisikie
"hoouuooo mkono wakoo bababaabaa"
mkono wako si mfupi{si mfupi usiniguse} usinigusee
{ hyeeee~ee wala sikio lako baba}sikio lako sio zito sisikieee
heeeeeiieeeee
mkono wako si mfupi sikio lako sio zito usisikie ombi langu heeeeeeee naamini unanitazamaaaa aaaaaaaaaah~aaaaaaaahaa
......***....****......*****.......*****......*****...….
Lyrics;Joshua Bundalah