![Testimony](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/02/cdd66db63c2d4f838e3034e3359329ce_464_464.jpg)
Testimony Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Umenipa amani umenipa furaha umenipa kicheko
Safari ya matumaini umeianzisha tena
Pia nimekubali kuwa wewe ni Mungu usiyedangaya
Majira na nyakati zote waniwazia mema
Umenipa thamani isiyolinganishwa na chochote
Umenipa jina
Umefuta ya zamani umeibadili historia
Kama ulivyosema
Natamani wote wajue
Mimi ni ushuhuda
Mi ni ushuhuda
Mataifa yote yajue
Nimebeba ushuhuda
Mi ni ushuhuda
So, this is my testimony (testimony)
Testimony (testimony)
Testimony (testimony)
I declare my life is a testimony (testimony)
Testimony (testimony)
I testify oh (testimony)
Umenijibu Baba kabla sijaomba
(Nashukuru, nashukuru baba)
Tena ukafanya zaidi ya fahamu zangu
(Nashukuru baba)
Ulinifunza kunyamaza kimya
Leo nimeuona ukuu wako
Mengine siwezi kumaliza kushukuru
Uliyonitendea ni mengi
Mengine siwezi kumaliza
Moyo wa Shukurani pokea
This is my testimony (testimony)
Testimony (testimony)
Testimony (testimony)
Yeeh this is my testimony (testimony)
Testimony (testimony)
My life is a testimony (testimony)
Testimony, testimony...
Come on, everybody sing
(Ametengeneza ushuhuda)
(Baba ooh)
(Ametengeneza ushuhuda)
(ooh ooh ohh)
(Ametengeneza ushuhuda)
(Baba ooh)
(Ametengeneza ushuhuda)