
Kwa Kalvari (Acoustic)
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Kwa Kalvari (Acoustic) - Walter Chilambo
...
muda mwingi nilipoteaa sikufahamu msalaba wala aliyenifilia kwa kalvarii ila kwa neno lake kwa neno lake mwana Mungu nilijiona mm mwovu nikageuka na kutubu kwa kalvarii CHORUS: Rehema bure na Neema samaha nalo nilipewa ndipo aliponifungua kwa kalvarii ×2 Repeat chorus yote kwa Yesu namtolea ndiyee mfalme wa pekee sas na kwa furaha nitamuimbia kwa kalvarii ×2 jinsi pendo lilivyokuu neema ilishushwa toka juu alitufanyia wokovu kwa kalvari ×2 CHORUS
Similar Songs
More from Walter Chilambo
Listen to Walter Chilambo Kwa Kalvari (Acoustic) MP3 song. Kwa Kalvari (Acoustic) song from album Kwa Kalvari (Acoustic) is released in 2021. The duration of song is 00:05:12. The song is sung by Walter Chilambo.
Related Tags: Kwa Kalvari (Acoustic), Kwa Kalvari (Acoustic) song, Kwa Kalvari (Acoustic) MP3 song, Kwa Kalvari (Acoustic) MP3, download Kwa Kalvari (Acoustic) song, Kwa Kalvari (Acoustic) song, Kwa Kalvari (Acoustic) Kwa Kalvari (Acoustic) song, Kwa Kalvari (Acoustic) song by Walter Chilambo, Kwa Kalvari (Acoustic) song download, download Kwa Kalvari (Acoustic) MP3 song