![Asante](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/05/7967d89d5e054a5e86d3886cf0b00f8d.jpg)
Asante Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Asante - Sara Nyongole
...
Artist:Sara-Nyongole
Song:Asante
Huuu-huuuuu-yayayayayaaaaaa
Nakushukuru mungu wangu kwa
mambo yote umetenda
Nakushukuru mungu wanguuu kwa yale yote umetendaaa
Tangu sijazaliwa tangu sijajijua
we ulinitambua na kuniwazia mema Tangu sijazaliwa tangu sijajijua we ulinitambua na kuniwazia memaaa
uuuuuuu-uuuuuuuu
yeyeyeyyeeeeeeyeeeee
Leo niko hapa si kwamba nimetenda mema.......bali ni neema zako umenishushia
Umenipa uhai umenitia nguvu tenaaa
asanteee.....asanteee
Nimesafiri salama nimerudi salama
ni wewe
kwenye maisha yangu nimekuona
wewe
ukinishika mkono na kuniongoza
wewe
hakika ni wema na fadhili zako
weweeeeeee
Ni kwa neema yako tuuu
Ni upendo wakoo tuu×2
(Ninakushukuru)
Nakushukuru mungu wangu kwa yale yoote umetenda
Nakushukuru mungu waangu kwa mambo yote umetendaa...
Huzuni yangu umeondoa bwanaa
Aibu yangu umeifutaa
Adui zangu umepigana nao
magonjwa yangu umeyaponya
acha nikushukuru acha nikushukuru
Asanteee..asante
acha nikushukuru acha nikushukuruu
asante...asanteeee..
Asanteee.....asanteee yesu asante
(wewe ni mwema)
wewe ni mwemaa
asante asante yesuuu (kwa wema wako)
asante
wewe ni mwema ×2
.........
........***........***.....***.....***....****.....****.
Ryric:Joshua Bundala