Koleza Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Koleza - Linah
...
suprise....
(instrumental)
wakiongea usijibu chochote
we baki bubu
uko moyoni hawajui tuu
na furaha imeleta amani kwenye maisha yangu uu
povu liwatokee wakarogee nitabaki nawee
penzii koleza, baby koleza
hawatwoni wana makengeza kengeza
penzii koleza, baby koleza
hawatwoni wana makengeza kengeza
inabidi uniamini aa eeh
kuacha katu katu
sijui nini na nini aa eeh
hayo maneno ya watu watu
inabidi uniamini aa eeh
kuacha katu katu
sijui nini na nini aa eeh
hayo maneno ya watu watu
lelelee lelelee
jimwa jimwa jimwageee
lelelee
lelelee lelelee
jimwa jimwa jimwageee
lelelee
maneno maneno wakikuambia
nambie eeh
midomo midomo kazi yake kuongea
wapuuzie eeh
nitauboresha boresha (upenzi)
nitauboresha mie
penzii koleza, baby koleza
hawatwoni wana makengeza kengeza
penzii koleza, baby koleza
hawatwoni wana makengeza kengeza
inabidi uniamini aa eeh
kuacha katu katu
sijui nini na nini aa eeh
hayo maneno ya watu watu
inabidi uniamini aa eeh
kuacha katu katu
sijui nini na nini aa eeh
hayo maneno ya watu watu
lelelee lelelee
jimwa jimwa jimwageee
lelelee
lelelee lelelee
jimwa jimwa jimwageee
lelelee
inabidi uniamini aa eeh
kuacha katu katu
sijui nini na nini aa eeh
hayo maneno ya watu watu
inabidi uniamini aa eeh
kuacha katu katu
sijui nini na nini aa eeh
hayo maneno ya watu watu
aa eeh lelelee lelelee
jimwa jimwa jimwageee
aa eeh lelelee
aa eeh lelelee lelelee
jimwa jimwa jimwageee
aa eeh lelelee
(instrumental)