Bora Nikimbie Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Bora Nikimbie - Linah
...
ooh
ooh
ohh
kama ni mapenzi ndio haya
naona bora nikimbie
naona sura ya furaha
iweje leo nibadilikie
nimechoshwa na vituko na vipigo
( unavyonipa )
majereha kila siku mpenzi wako
(inaumiza)
kwanini
hunithamini
ulinifata kwa ukarimu ,
na magoti ukapiga ,
ulionayo ukanieleza, jinsi gani unavyoumizwa unahitaji kutulizwa
na langu penzi,
oooh oohhh
sikujua kama mwengine unamuhudumia, ningejua moyoni mwangu nisingekupokea,
ukirudi umelewa na dharau niletea, nguo zangu nichania, bila kosa mi kujua najuta kupendwa
kama ni mapenzi ndio haya
naona bora nikimbie
naona sura ya furaha
iweje leo nibadilikie
nimechoshwa na vituko na vipigo
( unavyonipa )
majereha kila siku mpenzi wako
(inaumiza)
kwanini
hunithamini
ulichoniahidi, sio kile ninachokiona
na tunavyoishi, si kati ya wale wanaopendana,
naona penzi limekuwa chungu mdomoni mwangu,
sasa nalitema ,
neno mapenzi mdomoni mwangu limekuwa chungu,
sasa nalitema,
sikujua kama mwengine unamuhudumia, ningejua moyoni mwangu nisingekupokea,
ukirudi umelewa na dharau niletea, nguo zangu nichania, bila kosa mi kujua najuta kupendwa
kama ni mapenzi ndio haya
naona bora nikimbie
naona sura ya furaha
iweje leo nibadilikie
nimechoshwa na vituko na vipigo
( unavyonipa )
majereha kila siku mpenzi wako
(inaumiza)
kwanini
hunithamini
X2