Atatamani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Atatamani - Linah
...
mmmmmmhhh
yeah yeah
mi napenda
niakiapo sauti yako
inapoimba maskioni mwangu
nahisi kupata raha
mi nahisi nikiwa nawe nitakuwa juu
aloniacha mwanzo simfwati Tena
mi naomba unipe kumbatio lako ooh
baridi ilokuepo mwanzo ooh
isiwepo Tena aah
mi nahisi ukiwa nami nitakua juu
aloniacha mwanzo simfwati tenaa
chorus
atatamani niwe wake
akiniona nipo nawe
akithubutu anifwate
ukimuona rusha mawe×2
aliposema Mimi wa kazi gani
wewe uliwaza utanipata lini
nilitambua hakujua thamani yangu
wewe unayefahamu naomba unipende×2
chorus..