Pepea Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Pepea - Linah
...
Mwenzenu nina maswali
Yalokosa majibu
Nayajua mapenzi
Kwani ni wapi naharibu?
Nitayempata atatulia
Anatokea Mujiga ii
Aso nguli wa kuchagua
Anachagua visirani
Maana sipati furaha hata kidogo
Mapenzi kwangu kama hii si lingo
Na penzi langu la udongo
Kutwa lamomonyoka
Bora niyape mgongo
Sipendi kabisa nibaki single
Maana kutwa ni kinyongo
Bora kuacha
Sasa najinenepea pea
Nimetulia lia lia
Bendera lapepea pea
Sio za kulia lia
Sasa najinenepea
Nimetulia
Bendera pepea
Sio za kulia lia
Labda sio muda wangu ooh
Naifosi roho yangu ooh, kwa mawazo
Alinidhoofisha mwili wangu, oooh
Bora nitulie, nirudhishe mwili wangu
Maana sipati furaha hata kidogo
Mapenzi kwangu kama hii si lingo
Na penzi langu la udongo
Kutwa lamomonyoka
Bora niyape mgongo
Sipendi kabisa nibaki single
Maana kutwa ni kinyongo
Bora kuacha
Sasa najinenepea pea
Nimetulia lia lia
Bendera lapepea pea
Sio za kulia lia
Sasa najinenepea
Nimetulia
Bendera pepea
Sio za kulia lia
Iyee, iyee
Ah ah iyee, iyee
Iyee, iyee
Ah ah iyee, iyee
Sasa najinenepea pea
Nimetulia lia lia
Bendera lapepea pea
Sio za kulia lia
Sasa najinenepea
Nimetulia
Bendera pepea
Sio za kulia lia