Tuliza Boli Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Tuliza Boli - Linah
...
wewe upagawi na sura shepu siyo vilivyokutia ujanja wa sungura eti ndiyo kwako nikatulia tena maneno hayatoshi kunieleza haitakuwa sawa kwangu ulipiga goti maneno kunichombeza sumu iwe dawa nami kwako nimezama sikuelea sitokupa mapera hata wakisema sitaelewa sisikii tantalila ila nawe naawe tuliza boli nawe ila nawe naawe punguza story nawe sipendi mara mbili kipenzi we mmoja nshakuchagua nishazipita mbigili siwezi maumivu me kuyarudia nimeamua kukupenda nitadumu nawe kwa kivuli na jua tupendane watu wapagawe