Sikukumbuki ft. Stamina Shorwebwenzi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Sikukumbuki ft. Stamina Shorwebwenzi - Linah
...
......
.....
its your boy chako nyaks
.........
kweli mkaid hafaidi lipi kosa langu
kanisumbua sumbuaa
mmmmmh
ila nilipo jitahidi ikala Kwangu
kuni umbua umbua
hukuwahi kuwa chaguo la wazazi
tena kidog Ndugu wanipe radhi
marafiki wakahic Nnmechizi
mmmmmh
na kwa waganga ukavunja Na nazi
niwe.kimya niwe pumbuvwazi
ukani zeesha sura makunyanzi
uliniweza ukanipatia patia
mganga wako mpe mia kwa mia
Asante kwa Kknitumia tumia
maumivu nishaugulia gulia
ya MUNGU Mengi Nakwambia kwambia
nilompata ndo nilopangiwa pangiwa
nashukuru ulinifunzaga pia
mateso yako ni mapito ya dunia
sikukumbuki kwa lolotee
sikukumbuki kwa chochote
sikukumbuki kwa lolotee on
sikukumbuki kwa chochote
..........
.........
...'''''
.......
yeah sholobwenzi
................
sikukumbuki kwa lolotee
sikukumbuki kwa chochote
sikukumbuki kwa lolotee
sikukumbuki kwa chochote