Mwisho Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Mwisho - Bahati
...
mwisho isiwe mwisho
mwisho mesesi plaight×2
see God ni mtoto wako bahati tuonge tubonge
one Nina Mambo eeh Mungu ningependa kukuambia naomba ruksa na muda tuh
two sijui Kama unaniskia ama
dhambi za Bania usiende mbali juh tunaikosa riziki baba tunaumia tunalia corona corona yule maskini mama asie na njia au watoto wa mitaani omba omba
mwisho isiwe mwisho mwisho wa dunia×2
hakuna show hakuna ata show Kuna haja gani nijenge hizi flow when the fans wako locked nyumbani mwananchi mfuko iko low Ana risk kafyu asake hata Soo serikali ituelewe jamani waghetto wangu Wana tuko taabani street kids wakumbukwe na nani tuokoe na hili jangaa jamani corona corona
mwisho isiwe mwisho mwisho wa dunia×2
skia ndo tu nimemarry nawasha gari ya maisha nianze safari suddenly the end inakam aje nianze na samahani popote tumekosa naomaba tuwie radhi juh nisiku za mwisho tukuwe ready ukikam baba
mwisho isiwe mwisho mwisho wa dunia×2