Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2021

Lyrics

Wewe ni Mungu,Mungu wa sisi sote

Huruma rehema zako,zipo tu popote

Mmmh

Una majina mengi mmh

Wewe ni Mungu wa wengi iii

Mungu wa milimani,Mungu wa tambarare

Mungu wa kanisani,Mungu misikitini

Mungu wa milimani Mungu wa tambarare

Mungu wa kanisani,ninaye mwamini mimi.

Wewe ni Mungu,Mungu wa sisi sote

Huruma rehema zako,zipo tu popote

Wewe ni Mungu unatupenda sote

Wewe ni baba,wewe ni shama,kote

Ukanipa name,ukanipa love

Ukanipa fame ukanipa wife

Ukanipa favor na hii ni time

Ma blessing is all I got father

Ukanipa name ukanipa love

Ukanipa fame na beautiful wife

Ukanipa haters wanipe psych

Hahaha thank you

Nimerudi na wimbo,wacha nikuimbie baba

Ukiona na potea nirudie baba.

Wewe ni Mungu,Mungu wa sisi sote

Huruma rehema zako,zipo tu popote

Wewe ni Mungu unatupenda sote

Wewe ni baba,wewe ni shama,kote

Eeeh Eeeh Eeeeh Eeeh Sote

Eeeh eeeh eeeh eeeh sote

Zipo tu popote

Wewe ni Mungu ,unatupenda sote

Wewe ni baba wewe ni shama kote

Wewe ni Mungu,Mungu wa sisi sote

Huruma rehema zako ziko tu popote

Wewe ni Mungu unatupena sote

Wewe ni baba wewe ni shama kote

Wewe ni Mungu.


--- www.LRCgenerator.com ---

More Lyrics from Bahati Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status