Sweet Darling ft. SAT B Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Speaking from my heart baby
Can I tell you my mind mmh
You know you own my heart baby
Captivated my mind
We ndio jua langu
Mchana wangu nasubiria
We kivuli changu
Popote na we natembea
We baraka yangu
Siku zote liombea
Shika mkono wangu
Safari ndefu inangojea
Nipende nikupende tupendane
Nibebe nikubebe tubebane
Sweety darling
Darling
Sent from heaven
Sweety darling
Mi ndio chanda we pete yangu mama
Darling
Sent from heaven
Niwewe muco wanje
Unurikira turi mu mwiza
Iyo hatabona
Ona tumekutana hadi tukavaana
Tukapendana hadi tukafanana
Mi kukupenda ndo yangu taswira
Please sweety sweety
Basi tuwe na subira
Malezi yako bora pia
Yananifaidi yananifanya
Kujihisi mwenye bahati
Nakupenda sana unajuwa darling
Mimi nawewe kama pete na kidole
Kama pete na kidole
Sweety darling
Darling darling darling
Darling
Sweety darling
Darling
Roho yanguu
Ni bahati na Sat B
From Nairobi to Bucha
Ladida da da da
--- www.LRCgenerator.com ---