Wanani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Wanani - Bahati
...
Mmmmmhhhh..
Umeshuka tikes mbinguni
We Ni Malaika...
Hauna kosea ....
Sifa zote tumpe ma nanii
Aliye kuumba...
Hajakoseaaa....
Toto si toto..
Ulalaaaa
Nimeshinda loto
Ulalaaa
Figa moto
Lualaba....
To..Toto si Toto..
Ulalaaaa
Nimeshinda loto
Ulalaaa
Kukupata mtoto
Ulala....
Basi wewe wa nani
Niambie wa Nani
Wa Nanii
Kama sio wanguu tu
aah...
I had a life you....
but I love youuu...
Yes its true..
Yes it’s true.....
And if they ask me
to choose between
me and you...
baby I chose you
Coz am you uu uh uh..
Twende nyumbani
Tukamwone aunty...
na wenye wivu
tuwaite harusini
Kama uhai angepewa
Mamiii...
angefurahi kukuona
Honey
Nauliza was nani
Niambie wa nani
Wa nani
Kama sio wangu tuu
Basi wee waa nani
Niambie wa nani
Wa nani
Kama sio wangu tuu
Toto si toto
Ulalaaaa
Nimeshinda loto
Ulalaaa
Figa moto
Ulala....
To.. toto si toto..
Ulalaaaa
Nimeshinda loto
Ulalaaa
Kukupata moto ulala...
Paa pararira
Nikudekezeee
Kanisa nikupelekee
Church mode
Mtoto wa mama
gentleman
Am in love
With you my love