![Nikumbushe ft. Rayvanny](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/48/E8/rBEeM1mwDjWAdAlvAADzNEwm0jc934.jpg)
Nikumbushe ft. Rayvanny Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Nikumbushe ft. Rayvanny - Bahati
...
(eyooo Lizer)
Chorus (Bahati)
Usiponiona leo kama jana kesho (nikumbushe)
Isipokuwa leo kama Jana Kesho(nikumbushe)
Usiponiona leo kama jana kesho (nikumbushe)
Isipokuwa leo kama Jana Kesho(nikumbushe)
Nikumbushe eeh
unikumbushe
Nikumbushe eeh
unikumbushe
Verse 1(Rayvanny)
Leo Nyota imeng'aa Nasahau nilipotoka
Naidharau mitaa na mateso niliosota(aieeeh)
Ndugu zangu kinyaa mafukara wananichosha
Niache wafe na njaa nijisifu nitawanyoosha eeeh
sili kwetu kisumu bondo chakula haina swaga
Sitaki kula chapo dondo nataka pizza na bugger eeeh
Uniepushe Maulana nisiishie njiani (aaaah)
Unikumbushe ya Jana Kesho nipe Amani
Kwenye Maisha ya Muziki ukiwa na upendo utaishi
Timu hazijengi urafiki tusije kuuana kwa kugombania viti
Eti Nimuache mama kwenye dhiki kisa mambo yangu yametiki
Akipiga simu siishiki,Nikipokea nimuone kama shabiki
chorus(Bahati)
Usiponiona leo kama jana kesho(nikumbushe)
Isipokuwa leo kama jana kesho (nikumbushe)
Usiponiona leo kama jana kesho (nikumbushe)
Isipokuwa leo kama jana kesho (nikumbushe)
Nikumbushe eeh
Unikumbushe
Nikumbushe eeh
Unikumbushe
Verse 2 (Bahati)
Nimejawa na kiburi
upole haupo na mi
Alonifunza kadini mama simwiti mamii ooohoo
Nimejawa na Uhuni Star najiona mi
Nikipita na ka-gari Vumbi natupia wapi
Niwe kama Peter,kumkana Yesu mara tatu nikumbushe
Niwe kama Jonah,kukataa kutumwa ninadhani-kumbushee
Mwana bhoja leo nipe Sapoti
Namtusi ilimradi iwe kiki
Walionipa jina mashabiki leo,Nawaona wanafiki
Chorus(Bahati)
Usiponiona leo kama jana kesho (nikumbushe)
Isipokuwa leo kama jana kesho (nikumbushe)
Usiponiona leo kama jana kesho (nikumbushe)
Isipokuwa leo kama jana kesho (nikumbushe)
Nikumbushe eeeh
Unikumbushe
Nikumbushe eeeh
Unikumbushe
(Wasafi records)